Mh temba biography of williams

  • Mh temba biography of williams
  • Mh temba biography of williams

  • Mh temba biography of williams
  • Mh temba biography of williams brothers
  • Mh temba biography of williams wife
  • Mh temba biography of williams family
  • Mh temba biography of williams sisters
  • Mh temba biography of williams wife...

    Amani Temba

    Amani James Pausen Temba
    Mwanamuziki Temba
    Jina Kamili{{{jina kamili}}}
    Jina la kisaniiMheshimiwa Temba
    NchiTanzania
    Alizaliwa1980
    Aina ya muzikiHip Hop na Bongo Flava
    Kazi yakeMwanamuziki, Mchezaji Mpira wa Kikapu
    Miaka ya kazi mn.

    1999 -

    Ameshirikiana naDully Sykes, Ray C nk.
    AlaMuimbaji
    Kampuni Bongo Records, Mandugu Digital

    Amani James Pausen Temba au "Mheshimiwa Temba" (kifupi Mha Temba) ni Mwanamuziki wa Rap na Hip Hop Kutoka jijini Dar es SalaamTanzania, Na pia ni Mwanachama Kiongozi wa Tmk Wanaume familia yenye makazi yao huko Temeke jijini Dar es SalaamTanzania.

    Mheshimiwa Temba alizaliwa mwaka1980 na kupata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Temeke na baadaye kujiunga na shule ya sekondari ya Nuru Yakini ambako alisoma kwa miaka miwili kabla ya kuhamia sekondari ya Makongo. Alisoma Makongo kwa muda wa wiki moja tu na kwenda kujiunga na sekondari n